Video | Utapenda Kitu Amefanya Lulu Diva Kwenye "Give It To Me"Baada ya kufanya poa na ngoma zipatazo  3 "Utamu" baada ya "Usimwache" na "Milele" iliyopambwa na Vocal la Barnaba Classics, Bongoflava Diva Lulu amerudi kwenye ma-airwaves mtaani kwako baada ya ku-release mkwaju wake wa 4 "Give It To Me" umbao umekua relesead mwezi mmoja baada ya "Utamu" ishara ya kuridhishwa na mapokezi ya ngoma zake.

Big shoutout kwa Producer Aby Dady kwa mdundo ulioamsha Vibe la Lulu kwenye video hii ya "LaDupont Media Production"

Enjoy Nayo Hapa:


No comments