Banye - Brown Colour (Official Music Video)


Baada ya kuiwakilisha vizuri Tanzania kwenye mashindano ya Maisha Superstar mwka 2014 na baade 2015 kwenye mashindano ya Tecno Own The Stage, Hatimaye Mwanamuziki muimbaji wa RnB Banye ameiachia Single yake ya Kwanza "Brown Colour" iliyotengenezwa na Prodyuza Manecky wa AM Record, Mixing na Mastering amefanya Chizan Brain na mashairi yakiwa yameandikwa na Hemedy PHD,

 Shoutout kwa Director Ivan kwa kichupa kikali, Trust me, Hii Video ni kubwa kwa hadhi ya bongo.. Kama Bado Haujaiona Mzigo uko hapa kwa jina la "Brown Colour"

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.