Blac Chyna Na Mpango Wake Wa Kumrithi Nicki MinajBlac Chyna hayupo kwa ajili ya kucheza ama kuuza sura, Baada ya kuonekana kuwa na asilimia nyingi za ushindi baada ya ishu zake na mzazi mwenzake Rob Kardashian taarifa za chini ya Carpet zimemripoti mama huyo wa watoto wawili kuingia studio kufanya ngoma.

Blac Chyna anamuangalia Nicki Minaj kama mtu mwenye ushawishi kwake na kizuri zaidi wawili hao wapo kwenye video moja ya Rapa Yo Gotti.

Kwa muujibu wa TMZ makampuni na Record Labels kadhaa pande za Los Angels ikiwemo Capital Records wameshaanza kukutana na Chyna kwa mazungumzo ya biashara.

Wakati mwenyewe Blac Chyna hajathibitisha hilo, Kila kitu kinaonekana kuwa moto kama hii ni kweli.


Vitakuacha Hoi Viuno Vya Rapa Chemical Kwenye Hii Video..: 

 

No comments