Olamide - Love No Go DieBaada ya kuumiza na Video ya ngoma yake "Summer Boy" iliyofanyika pande za Miami Beach akiwa ameshirikiana na Davido muimbaji staa wa Nigeria na Boss wa YBNL Olamide amedropisha hii animation Video ya wimbo wake mpya "Love No Go Die:

UNAWEZA KU-ENJOY NAYO HAPA:


Kama Umeielewa Unaweza kui-download kwa kubofya hapa:

No comments