Tekno - GO (Official Video)


Kwa takribani mwaka mzima yaani kuanzia kipindi cha miezi sita ya mwisho wa mwaka jana 2016 mpaka Leo Agosti 2, 2017 Tekno Miles ameendelea kuwemo kwenye orodha ya wanamuziki wa Africa wanaokimbiza kwa kuwa na mikwaju mingi ndani ya muda mfupi.

Diana, Yawa , BE na Samantha zinatajwa kuwa miongoni mwa ngoma zinazofanya jina la staa huyo wa Nigeria kuendelea ku-shine kila kukicha.

Sasa Baada ya kuaichia Audio ya ngoma "GO" mwishoni mwa wiki iliyopita, Tekno ameiachia rasmi Video ya ngoma hiyo,

Cheki nayo Hapa: 

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.