VIDEO | Katy Perry - Swish Swish Ft. Nicki Minaj

Kutoka kwenye Albam yake "WITNESS" Kate Perry ameaiachia rasmi Video ya ngoma"Swish Swish" ambayo Rapa Nicki Minaj amepewa shavu ndani ayke.

Video hiyo inatajwa kuwa na  vichocheo zaidi vya ugomvi kati ya Kate Perry na adui yake wa muda mrefu Taylor Swift.

Icheki Hapa: