Video | @MauaSama - Katu Katu


Tulianza kumuelewa Maua Sama kuanzia "So Cryz" na Binamu Mwana FA, Baada ya hapo Maua Sama hakulewa sifa, Jina lake liliendelea kushine kunako Industry ya Bongoflava mpaka mwaka 2014 aliponyakua Tuzo ya KTMA kwenye kipengele cha "Wimbo Bora Wa Reggae" Let Them Know.

Zikaachiwa hitsongs kadhaa kutoka kwa mrembo huyo lakini hii "Katu Katu" huenda ikawa ni bora kuliko zote ambazo ziliwahi kuachiwa kutoka kwa Maua.

Kwenye Video anaonekana Maua Sama anaejaribu kulitetea penzi lake baada ya kugundua mwanaume wake hakuwa muaminifu, Sound Ya Producer Ringtone huenda isingekua "Lit" kama Director Hanscana asingetisha kwenye chupa hii...