Video | @RamaDeeOfficial - Kwa akili Yangu

Muimbaji mkali wa RnB Rama Dee ameidropisha Video ya wimbo wake mpya "Kwa Akili Yangu", Wimbo unaozielezea changamoto ambazo tumekua tukikutana nazo kila siku kwenye Maisha ya mahusiano,

Mashairi ya ngoma hii yameandikwa na MABESTE, Producer Vancover wa Hometown Studios amehusika kwenye Audio huku video yake ikikamilishwa na Director Jowzey.

CHEKI NAYO HAPA:

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.