Baada Ya Sweet Mangi Nikki Wa Pili (@nikkwapili) Na Chin Bees Wamekutana Tena Kwenye #KihasaraMweusi Nikki Wa II kwa mara nyingine tena ameungana na Rapa Chin Bees kwenye ngoma nyingine baada ya wawili hao kufanya poa kwenye "Sweet Mangi" iliyowahi kuwa hitsong mwaka mmoja uliopita (2016).

Ngoma inaitwa "Kihasara" beat imenyongwa na King Luffa huku mastering na mastering zikiwa zimefanyika Switch Studios,

Video kali ya wimbo huu imesimamiwa na Director Lucas Swahili,

Enjoy Nayo Hapa:DOWNLOAD KIHASARA MP3:
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.