@HemedyPhd - Mkimbie ( Official Video )Kwa hesabu za haraka ukiangalia utagundua kama ni takribani miaka miwili Hemedy Phd hajakuwa karibu na mashabiki wake upande wa Bongoflevani.

Pengine zaidi ya ukimya aliokua na labda kuna projects za maana alizoKua anafanya kiasi cha kutosikika kwa muda wote huo, Naam hivyo ndivyo unaweza kusema kwani baada ya ukimya huo Hemedy PHD ameachia rasmi Video ya wimbo wake mpya Mkimbie.Moja kati ya zile ngoma kali za Bongoflava zinazoendelea kudondoshwa na wasanii tofautitofauti hii nayo tunaipa namba,

 Download/Sikiliza 

kisha drop Comment yako hapa:
Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.