@DiamondPlatnumz Is Here To Stay, Album Coming Soon

Diamond Platnumz is here to stay, tukiwa bado tunaenjoy na Hallelujah aliyowashirikisha Morgan Heritage, Usiku wa Juzi Diamond ameondoka na Tuzo 2 Za Afrimma zilizofuatiwa Na Video Clip ya uandaaji wa video ya ngoma yake na Rick Ross (Bado Haikatoka).

Leo Kwenye Instagram page yake Chibu ametupia picha yenye muonekano wake akiwa mtoto Mdogo na Tittle ikisomeka A Boy From Tandale.

"ALBUM SOON COME
#ABoyFromTandale"

Imesomeka Hivyo Caption yake .

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.