Video | Chris Brown - High End ft. Future & Young Thug


Chris Brown anajipanga kufanya Double release ya Albamu yak e"Heartbreak On A Fullmoon" mwishoni mwa Oktoba hii, Kama alivyoahidi kuachia ngoma mpya mpaka kufikia Oktoba 31, Ahadi yake imeendelea kuwa kweli, Baada ya Questions kufanya poa, Young Thug na Future wameungana na Breezy  kwenye "High End", 

NB: Watoto chini ya miaka 17 HAWARUHUSIWI KUIANGALIA:

No comments

Theme images by rami_ba. Powered by Blogger.